Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akizungumza wakati alipotembelewa na ugeni kutoka CRDB Benki Tawi la Dodoma,
Katikati ni Meneja wa CRDB Benki Tawi la Dodoma Ndg. Rehema Hamisi na kulia ni
Meneja Biashara Ndg. Danny Shemdoe, katika kikao kilichofanyika leo ofisini
kwake Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments