Random Posts

Viongozi wanawake wafanyakazi Tanzania na wanawake wafanyakazi kutoka Zambia Wabadilisha Uzoefu.

 Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia,  wakimsikiliza kwa makini  mfanyakazi wa TBL Group Khery… wakati alipokuwa akitoa maelezo  njisi ya kuweza kufuata utaratibu  wa kutembelea katika kiwanda cha bia cha Ilala jijni Dar es Salaam, wakati walipofanya ziara  ya wanawake kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia .
 Mtaalam wa upishi wa bia  wa TBL Group  ,(Process Cost) Roseana Modest(kushoto)akiwaonyesha moja ya magunia ya sukari ianayotumika katika kutengenezea bia  wakati wa Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na badhi ya viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia,  walipotembelea katika kiwanda cha bia cha Ilala jijini Dar es Salaam, ziara hiyo iliratibiwa na Idara ya Vyama vya wafanyakazi wanawake Tanzania (TUICO) kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kati ya vyama vya wafanyakazi wanawake wa Tanzania na Zambia.
 Baadhi ya Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na badhi ya viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia,  wakimsikiliza kwa makini  mtaalam wa upishi wa bia wa TBL Group (Process Cost) Roseana Modest, wakati walipofanya ziara  ya wanawake kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia katika kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia,  wakimsikiliza kwa makini  mtaalam wa upishi wa bia wa TBL Group (Process Cost) Roseana Modest,(kushoto)  wakati walipofanya ziara  ya wanawake kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia katika kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia,  wakiwa katika picha ya pamoja  wakati walipofanya ziara katika kiwanda cha  TBL Group  kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam,  kwa ajili ya wanawake kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia katika kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Mtaalam wa Ubora wa TBL Group (Quality Technician ) Jane Mwambuma (kushoto) akiwapa maelezo Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia wakati walipofika kwenye chumba cha maabara cha TBL Group. wakati walipofanya ziara  ya wanawake katika kiwanda hicho  kwa ajili ya kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia katika kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia , wakiangalia njisi bia zianavyozalishwa . wakati walipofanya ziara  ya wanawake katika kiwanda hicho  kwa ajili ya kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia katika kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Meneja Uhusiana na mawasiliano wa TBL Group Zena Tenga (kulia) akifafanua jambo  kwa Viongozi  wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia. Wakati walipofanya ziara  katika kiwanda hicho  kwa ajili ya kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia katika kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Idara ya Wanawake TUICO  makao makuu Margaret Ndagile (Kushoto) akitaoa shukrani za dahati kwa uongozi wa TBL Group ,(haupo pichani) kwa kukubali ombi lao la Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia kufanya  ziara  ya wanawake katika kiwanda hicho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia.
 Baadhi ya viongozi wanawake wafanyakazi wa TBL Group , Viongozi wa wanawake wa  Vyama vya  wafanyakazi  nchini (TUICO) na  viongozi wanawake wa  vyama vya  wafanyakazi kutoka nchini Zambia wakiwa katika picha ya pamaja  mara baada ya ziara ya kubadilishana  uzoefu kwa viongozi wanawake wa vyama vya wafanyakazi kati ya Tanzania na Zambia
Picha ya Pamoja.

Post a Comment

0 Comments