Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba aliyevaa suti nyeusi akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji watatu kulia baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege Mjini Dodoma, kwa ajili ya kufungua Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo mapema leo asubuhi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akiangalia kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili
uwanjani hapo mapema leo asubuhi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Thobias Andengenye wapili toka kulia, Kamishna wa Utawala na Fedha
Michael Shija na Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu Billy Mwakatage
wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa LAPF
kinapofanyika Kikao cha Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mapema leo
asubuhi.
Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akisoma hotuba ya kumkaribisha Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba katika Kikao cha
Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mapema leo asubuhi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akisoma hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Makamanda wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mapema leo asubuhi.
Sehemu ya Makamanda wa
Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi mapema
leo asubuhi.
Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali
Thobias Andengenye, Makamishna Waandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dodoma
(Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
0 Comments