Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao
cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3,
2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba
Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na
umiliki wa maliasili wa mwaka 2017 katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano
wa hamsini na nane wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3,
2017.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard
Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3,
2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo
Makani akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao
cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3,
2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu
Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha hamsini na nane cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na
Mbunge wa Kuchaguliwa Mhe.Salma Kikwete katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
Waziri Mkuu
Mhe.Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.Eng James Mbatia katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Julai 3,2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA









0 Comments