Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao
cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju
akisoma maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa
mwaka 2017 katika kikao sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Julai 5, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia
Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha sitini
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu
Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha sitini cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Viongozi na
wachezaji wa timu ya Singida United wakiwa wakifuatilia mijadala ya bunge katika kikao
cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA





0 Comments