Kaimu
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi (kushoto)
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati akieleza juu ya maadhimisho ya
Siku ya Wahandisi nchini ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma kuanzia
tarehe 7 hadi 8 mwezi Septemba.
Kaimu
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi (kushoto)
akionesha kwa waandishi wa habari picha yenye mashine ya kushindilia barabara
ambayo imegunduliwa na wahandisi wa hapa nchini na kupewa jina la Magufuli One,
kulia ni Msajili Msaidizi wa bodi hiyo, Mhandisi Benedict Mukama .
Msajili Msaidizi wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi
Benedict Mukama (kulia) akifafanua jambo
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akieleza juu ya maadhimisho ya
Siku ya Wahandisi nchini ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma kuanzia
tarehe 7 hadi 8 mwezi Septemba, kushoto ni Kaimu Msajili wa bodi hiyo, Mhandisi
Patrick Barozi.
Picha na Eliphace Marwa - MAELEZO

0 Comments