Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga
(wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la ‘World Education
Initiative’ Bi Lilian Badi (hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya
‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Bibi Magreth Musai (katikati) akichangia
hoja katika kikao kati ya Katibu Mkuu
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo
ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education
Initiative Bi Lilian Badi( wa pili kushoto) walipofika kutambulisha programu ya
‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World
Education Initiative Bi Lilian Badi(katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo
ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya
‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

0 Comments