Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na Baraza
la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama
wa Mtoto Mkoani Iringa wakati alipofanya
ziara Mkoani hapo kuangalia utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Jamii.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Iringa Bibi Waumoja Ayoub akisisitiza jambo kwa Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi
cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga alipofanya ziara Mkoani hapo kuangalia utekelezaji wa Sera
ya Maendeleo ya Jamii.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iringa
Bw.Robert Masunya akitoa maelezo kwa Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia
Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipofanya ziara na
kuzungumza na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji
wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa.
Mjumbe wa Baraza la Watoto la Kata ya Mseke Theresia
Msemwa(kushoto) akisoma risala kwa niaba ya Baraza la watoto la kata ya Mseke
kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipofanya
ziara na kuzungumza na Baraza la Watoto la Kata ya Mseke na Kikundi cha Malezi na
Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga akitoa mchango wake kuwezesha Mfuko wa Baraza la watoto la
Kata ya Mseke Mkoa ni Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi
Sihaba Nkinga(kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Baraza la Watoto
la Taifa Lulu Nziku mara baada ya kumaliza kikao na Baraza la Watoto la Kata ya
Mseke na Kikundi cha Malezi na Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa mtoto
Mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la
Watoto la Kata ya Mseke Mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Kikundi cha Malezi na
Uhamasishaji wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mkoani Iringa.
Picha na
Erasto Ching’oro WAMJW












0 Comments