Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga
akiwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mufundi wakati alipotembelea
Mkoani Iringa.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga
akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mufundi wakati alipotembelea mkoani Iringa.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga
akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya
Mufindi alipotembelea Mkoani Iringa.
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya
Mufindi wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea
Mkoani Iringa.
Mkuu
wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Jamhuri William akisistiza jambo wajumbe wa
Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga
alipotembelea Mkoani Iringa.
Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akieleza jambo kwa na
wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi
wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba
Nkinga alipotembelea mkoani Iringa.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akifafanua jambo kwa wajumbe
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga
alipotembelea Mkoani Iringa.
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi Mhe. Maua Rashid
akifafanua jambo la kisheria kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo
ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo
ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Wilayani hapo na kuzungumza na
Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya.
Mjumbe
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi Inspecta
akielezea masuala mbalimbali ya kesi zilizoripotiwa polisi kutokana na
ukatili dhidi ya kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Wilayani hapo.
Mkuu
wa Polisi Wilaya ya Mufindi Abechi Masanga akitoa taarifa kwa Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga
zilizoripotiwa Polisi kuhusu ukatili dhidi ya watoto wakati Katibu Mkuu
huyo alipotembelea mkoani Iringa.
Mkuu
wa Polisi Wilaya ya Mufindi Abechi Masanga(katikati) akielezea jinsi
Dawati la Jinsia na watoto kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya
Jamii Bibi Sihaba Nkinga linavyofanya kazi yake wakati alipotembelea
Wilayani hapo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba akitoka
katika Ofisi ya Dawati la Jinsia na watoto katika Kituo cha Polisi
Wilaya ya Mufindi kujionea shughuli zinazofanyika katika dawati hilo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba akiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na usalama wa
mtoto na watendaji wa Dawati la Jinsia na watoto Wilaya Mufindi Mkoani
Iringa.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

0 Comments