Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jaffo (watatu kulia) akimkabidhi hati ya
ushindi Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nnenelwa Wankanga (kushoto) baada
ya Ofisi ya Bunge kuwa washindi watatu katika kundi la Wizara za Sekta ya
Huduma za Jamii kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane nane zililofanyika jana
katika Uwanja wa Nzunguni, Mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiongozwa na Mkurugenzi
wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nnenelwa Wankanga (wanne kushoto) wakionyesha hati
ya ushindi baada ya Ofisi ya Bunge kuwa washindi watatu katika kundi la Wizara
za Sekta ya Huduma za Jamii kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane nane zililofanyika
jana katika Uwanja wa Nzunguni, Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments