Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake,
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga
huku viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo
ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa
pongezi na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya uwekaji wa
jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda
hadi Tanga huku Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia.
Shughuli hiyo ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la
Tanga
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa
Uganda Yoweri Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari
mbalimbali waliohudhuria shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa
wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika kijiji cha
Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakielekea kuweka jiwe hilo la msingi.
![]() |
| Wasanii wakitumbuiza katika uwanja wa Chongoleani. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika kijiji cha
Chongoleani kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta
ghafi kutoka nchini Uganda hadi Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
viwanja vya Chongoleani kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa
ujenzi wa bomba la mafuta.
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni akihutubia katika viwanja vya Chongoleani nje kidogo
ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga mara baada
ya kuweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima
Uganda hadi Tanga katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono
pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
katika uwanja wa ndege wa Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma ya
msanja na Mama Janeth Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
mara baada ya kumsindikiza Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa
ndege wa Tanga.
Wananchi
mbalimbali waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa bomba la mafuta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii
mbalimbali mara baada ya kutumbuiza.
PICHA
NA IKULU
















0 Comments