![]() |
| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe
kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani
Tanga. PICHA ZOTE NA IKULU |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi waliofika katika ufunguzi huo wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha
Korogwe mjini mkoani Tanga.
Taaswira
ya wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha
Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Naibu Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo kabla ya kufungua rasmi Kituo
hicho cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
mananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini
mkoani Tanga.













0 Comments