Rais
wa Misri Abdel Fattah Al Sisi akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni
wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na
mgeni wake wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati nyimbo za mataifa
mawili ya Tanzania na Misri zikipigwa uwanjani hapo.
Rais
wa Misri Abdel Fattah Al Sisi akikagua gwaride la Heshima mara baada ya nyimbo
za Taifa kupigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Misri Abdel Fattah Al Sisi akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada
ya kuwasili nchini.
PICHA NA IKULU






0 Comments