Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni
wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga
kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka
Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili
katika Ikulu ya Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
wakati akielekea kwenye Dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais wa Uganda Yoweri
Musevi katika Ikulu ya Tanga.
PICHA NA IKULU



0 Comments