Afisa Habari (Itifaki) wa Bunge, Ndg. Patson
Sobha (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Miyuji walipotembelea
Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea Mjini Dodoma.
Afisa Habari (Itifaki) wa Bunge, Ndg. Patson Sobha
akizungumza na wageni Mbali mbali waliotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho
ya Nane nane yanayoendelea Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments