Baadhi
ya wanafunzi wakiwa wanaonja asali ili kuwawezesha kutambua asali bora mara baada ya kutembelea banda la
Wizara ya Maliasili na Utalii katika maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika kwenye viwanja Ngongo mkoani Lindi
Afisa
Misitu, Kekilia Kabalimu akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea
Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima
yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Meneja
wa Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray akisisitiza jambo kwa wananchi
waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya
Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
Baadhi
ya wanachi wakipewa maelezo katika bustani ya miti mara waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na
Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
Meneja
wa Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray akisisitiza jambo kwa wananchi
waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya
Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
Baadhi
ya wanachi wakipewa maelezo ya utaratibu wa kusafirisha vinyago kwenda
nchi za nje waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye
maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi

0 Comments