AQRB Yawapa elimu wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi juu ya utoaji huduma katika sekta ya ujenzi - MTAZAMO MEDIA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Tuesday, 19 September 2017

demo-image

AQRB Yawapa elimu wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi juu ya utoaji huduma katika sekta ya ujenzi

Responsive Ads Here
1
 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wahandisi Washauri Tanzania, Mhandisi Ray Ywa Seng’enge akitoa mada katika mkutano wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuhusiana na maadili na uaminifu katika utoaji wa huduma za ushauri katika sekta ya ujenzi uliondaliwa na Bodi ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
2
 Kaimu Msajili Msaidizi Ufundi wa Bodi ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Mashaka Bundala akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuhusiana na maadili na uwaminifu katika utoaji wa huduma za ushauri  katika sekta ya ujenzi uliondaliwa na Bodi ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
3
 QS Albert munuoKaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) akichangia mada wakati wa mkutano huo.
4
 Mmoja wa wakandarasi akichangia mada.
5
6
DSC_0042
 Washiriki wa mkuta huo wakifuatilia kwaumakini mada mbalimbali.
7
Picha ya pamoja 

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *