Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mhe.Selemani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha
Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Halima Bulembo
akiuliza swali katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Muungano na
Mazingira) Mhe.January Makamba akizungumza
jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira
Mhe.Anthony Mavunde katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo
Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe.Dk.Suzan Kolimba akiteta jambo na Naibu Waziri wa
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe.Angeline Mabula katika kikao cha
tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe.Makame Mbarawa akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani
Kikwete katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA.





0 Comments