Uongozi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC leo mapema wamefanya ziara katika kituo cha utangazaji cha AZAM TV na kukutana na Uongozi wa Kampuni ya AZAM Media na kufanya mazungumzo.
Katika Mazungumzo hayo, Wakurugenzi wa kampuni ya Maxcom Africa PLC na AZAM Media wamepanga kuimarisha Ushirikiano wao kibiashara katika Nyanja mbalimbali ikiwamo ya kuwezesha malipo mbalimbali kielekroniki na Ubunifu wa mifumo ya kielektroniki.
Mkurugenzi Mkuu wa AZAM Media ndugu Tido Mhando (Kulia) akimkaribisha Mkurugenzi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC - Eng. Juma Rajabu (wa kwanza Kushoto) akiwa na Ndugu Charles Hilary na Yusuf Mohamed
Mkurugenzi wa Azam Media ndugu Tido Mhando akifafanua Jambo kwa Wakurugenzi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC walipotembelea Ofisi za Azam Media[/caption]
[caption id="attachment_5554" align="aligncenter" width="3840"]
Baadhi ya watendaji wa Maxcom Africa PLC waliotembelea studio za AZAM
Baadhi ya watendaji wa Maxcom Africa PLC waliotembelea studio za AZAM

Watendaji wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC katika Studio ya AZAM

0 Comments