Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri wakati akifungua mafunzo ya siku tano yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi leo Mjini Dodoma.
Mtendaji MKuu wa Uongozi Institute Prof Joseph
Semboja akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Uongozi kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa
Manispaa,majiji na Halmshauri leo Mjini Dodoma
Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo
akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Dkt Zainabu Chaula wakati
wa mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa
Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri yanayofanyika Mjini
Dodoma na kuendeshwa na Taasisi ya Uongozi.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Josephine
Matiro na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe.Richard Kasesela wakimsikiliza Naibu
Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi
wa Manispaa,Majiji na Halmshauri leo
Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wakurugenzi wa
Manispaa,Majiji na Halmshauri wanaohudhuria mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa
na Taasisi ya Uongozi wakisikiliza mada mbalimbali katika mafunzo hayo leo Mjini
Dodoma.
Picha zote na Daudi
Manongi,MAELEZO,DODOMA.





0 Comments