Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza
Madini ya Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wakisikiliza
Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite iliyokuwa
ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Maalum Doto Biteko Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza Taarifa
ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite iliyokuwa
ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Maalum Doto Biteko Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wa hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa za Kamati
maalum ya kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Viongozi
wa vyama vya Siasa wakijadiliana jambo wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa za
Kamati maalum ya kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia
waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya
Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja
na Wajumbe wa Kamati iliyochunguza madini ya Almasi Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU






0 Comments