Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto)akizungumza
wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika
leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma. kushoto ni
Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Emmanuel Mbennah, Askofu Dudly Magon (wa pili
kulia) na Mchungaji Can Ruwa (kulia).
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisaini
kitabu cha wageni kabla ya kufungua Kongamano
la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo
kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma.
Wanamaombi wa Mtandao Tanzania (APN) wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(hayupo kwenye picha) wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi
Tanzania (APN)uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John
kilichopo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana
na Mchungaji Kelvin Ngaeje wa kanisa la Anglican baada ya kualikwa kuwa mgeni
rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) uliofanyika
leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St.John kilichopo Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)




0 Comments