Random Posts

Mkutano wa wadau wa miundombinu ya reli na barabara

 Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa wadau wa miundombinu ya reli na barabara (hawapo pichani) wakati wa kongamano la siku mbili la wadau hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Godfrey Simbeye.
 Baadhi ya wadau wa miundombinu ya reli na barabara wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati uzinduzi wa kongamano la siku mbili la wadau hao la kujadili fursa mbalimbali zilizopo katika sekta ya miundombinu nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Godfrey Simbeye akifafanua jambo kwa wadau wa miundombinu ya reli na barabara (hawapo pichani) wakati wa kongamano la siku mbili la wadau hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.


Picha na Eliphace Marwa - Maelezo

Post a Comment

0 Comments