Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza
wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli, wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri
Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
John P. Magufuli (katikati) akishikana mikono na viongozi wa Mihimili ya nchi katika
hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Kushoto ni Jaji Mkuu, Mhe. Prof.
Ibrahim Juma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
John P. Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
Mihimili ya nchi baada ya kumalizika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika
leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na
Kushoto ni Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
John P. Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika
leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
John P. Magufuli (kulia) akisalimiana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kushoto) katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini
Dar es Salaam. Kulia nyuma ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na katika ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa
Kassim Majaliwa
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akiagana
na Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma baada ya kumaliza kwa hafla ya kuapishwa
kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.






0 Comments