Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa
Ibrahim Hamis Juma akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim
anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa
nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.
Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa
Ibrahim Hamis Juma akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kushika wadhifa
huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa
wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu
tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Jaji Mkuu wa Mahakama
Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma mara baada ya kumuapisha kushika
wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika
wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi
Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo wakati wa hafla ya kumuapisha Jaji
Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma leo Ikulu Jijini
Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu
Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku
akiwa Mtanzania wa sita.
Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa
Ibrahimu Hamisi Juma akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuapishwa kwake
kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Profesa Ibrahim anachukua
nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane
kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.
Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba
Kabudi akielezea jambo wakati wa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama
Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (aliyekaa mbele) leo Ikulu Jijini
Dar es Salaam. Aliyekaa kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na
Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu
tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba
Kabudi (kushoto) akiteta jambo na Jaji
Mkuu mstaafu Mhe. Othman Chande (kulia) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali
George Masaju wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania
Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya majaji waliohudhuria hafla
ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma
(hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua
nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane
kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na
Msemaji Mkuu wa Serikali akifuatilia kwa makini hafla ya hafla ya kumuapisha
Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo
pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika
wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.
Jaji
Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akiteta jambo na Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Othman Chande (kulia)
wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Prof.
Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Picha
na: Idara ya Habari - MAELEZO










0 Comments