Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akifafanua jambo kwa Waandishi
wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za Baraza la
Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Korea ya
Kaskazini, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Aziz Mlima na
kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara hiyo Bi. Mindi Kasiga.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akifafanua jambo kwa
Waandishi wa Habari wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za Baraza la Usalama la
Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Korea ya Kaskazini mapema
hii leo jijini Dar es Salaam.
Mwandishi
wa Habari toka kituo cha Televisheni cha Channel Ten, David Ramadhan akimuuliza
swali Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt.
Augustine Mahiga (aliye kaa katikati) wakati Waziri huyo akitoa ufafanuzi juu
ya tuhuma za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa
Tanzania na Korea ya Kaskazini.
Picha
na Eliphace Marwa - Maelezo



0 Comments