Subscribe Us

header ads

Uzinduzi wa album za nakuombea jirani

 Mmiliki wa Studio ya Big D Entertainment na Mlezi wa Kwaya ya Watoto wa Kanisa la African Inland Church(T) la Nzega mjini John Dotto akizundua kanda ya Nyimbo za Mchungani Egon Israel yenye kubeba jina la Nakuombea Jirani.
 Mmiliki wa Studio ya Big D Entertainment na Mlezi wa Kwaya ya Watoto wa Kanisa la African Inland Church(T) la Nzega mjini John Dotto (wenye shati ya bluu)akipokea risala kutoka kwa Katibu wa African Inland Church (T) Walwa  Milambo (mwenye shati  nyeusi) zundua kanda ya Nyimbo za Mchungani Egon Israel yenye kubeba jina la Nakuombea Jirani.
 Kwaya ya Watoto wa Kanisa la African Inland Church(T) la Nzega mjini inayojulikana kwa Wabeloya ikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kanda ya Nyimbo za Mchungani Egon Israel yenye kubeba jina la Nakuombea Jirani jana mjini hapa.
 Baadhi ya waumini wa Kanisa la African Inland Church(T) Nzega mjini wakishuhudia sherehe za uzinduzi wa albumu ya Mchungaji Egon Israel jana mjini Nzega.
.....
Picha na Tiganya Vincent. Tabora

Post a Comment

0 Comments