Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimiana Sheikh Mkuu wa
Tanzania, Mufti Abubacary bin Zubeiry Ally wakati alipokwenda
nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19,
2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally
kilichotokea kwee hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Sheikh Mkuu wa
Tanzania, Mufti Abubacary Zubeiry bin Ally wakati alipokwenda
nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19,
2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally
kilichotokea kwee hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumz na Sheikh Mkuu wa
Tanzani, Mufti Abubacary Zubeiry bin Ally wakati alipokwenda
nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19,
2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally
kilichotokea kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.
Kushoto ni Kadhi Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abadallah Mnyasi.
(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment