Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa
Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International
Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika
katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis
Kigwangala akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya
Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo
jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii
Meja Jenerali Mstaafu Gaudenci Milanzi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi
wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International
Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika
katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji
Mstaafu Thomas Mihayo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho
yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo)
leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanayoratibiwa na Bodi
hiyo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania
(TTB) Bibi. Devotha Mdachi akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa
Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International
Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika
katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia
Airline tuzo ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho
ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism
Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku
tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius
Nyerere (JNICC).
Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya
Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo)
wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akitembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa
maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International
Tourism Expo) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo
leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis
Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas
Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na
Taasisi zake mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya
Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es
Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).
(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)










0 Comments