Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul
Makonda wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo.
Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa
kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga
mbalimbali.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Thobias Andengenye akimkabidhi zawadi ya Kalamu yenye ujumbe wa namba
ya dharura 114 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam
leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa
kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga
mbalimbali.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
Thobias Andengenye, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini
Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na
Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana
na majanga mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika
Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea
vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali.
Picha
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-MAKAO MAKUU YA
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
0 Comments