Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Nishati na Madini, Mheshimiwa Dotto Biteko akiongoza kikao cha pamoja baina ya
wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na
Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili
Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi
cha robo mwaka kilichofanyika Oktoba 25, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika Oktoba 25, 2017 Mjini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati
na Madini na Mbunge wa Musoma Mjini, Mheshimiwa Vedastus Manyinyi (aliesimama)akizungumza
katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka
Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard
Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa
fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika Oktoba 25, 2017 Mjini
Dodoma. kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo na Mbunge wa karagwe, Mheshimiwa,
Innocent Bashungwa
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati
na Madini na Mbunge wa karagwe, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (katikati)akizungumza
katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka
Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard
Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa
fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika Oktoba 25, 2017 Mjini
Dodoma.
Wengine ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa Chonga Mheshimiwa, Juma
khatib (kushoto) na Mbunge wa Musoma Mjini Mheshimiwa,Vedastus Manyinyi (kulia).
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati
na Madini na Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Kiza Mayeye (katikati)akizungumza
katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka
Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard
Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa
fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika Oktoba 25, 2017 Mjini
Dodoma.
Wengine ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa kinondoni Mheshimiwa, Maulid
Mtulia (kushoto) na Mbunge wa Bukoba Mjini Mheshimiwa, Wilfred Lwakatare
(kulia).
Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Boniface
Gissima (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu
upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka katika
kikao kilichofanyika Oktoba 25, 2017 Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments