Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri
wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage mara baada ya kufungua kiwanda cha
Victoria molders and polybags kilichopo Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda
cha madawa cha Prince Pharmaceuticals
kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags mara baada ya kutengeneza
Tanki la kuhifadhia maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
utengenezaji wa viti vya plastiki katika kiwanda cha Victoria molders and
polybags katika eneo la Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mfuniko
uliotengenezwa katika kiwanda hicho cha Victoria molders and polybags Igogo
jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Meya ya jiji la Mwanza James Bwire mara baada ya kufungua kiwanda cha Victoria
molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.
Wananchi
wa Butimba na Mkuyuni wakifurahi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao katika eneo la kona ya
Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.









0 Comments