Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akimsikiliza Mheshimiwa Abdullah Makame (katikati) ambae ni kiongozi wa msafara
wa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki
kutoka Tanzania baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma. ujumbe huo uliongozwa na Mheshimiwa Abdullah Makame (wa tatu
kulia) ambae ni kiongozi wa msafara huo.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments