Random Posts

Waandishi wa habari watembelea JNIA kujione mafanikio ya serikali ya awamu ya TANO

 Kaimu Mkurugenzi Huduma za uongozaji ndege wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).John Chambo, akiwaonyesha   waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam,jinsi ya kupata huduma uongozaji ndege kwa njia ya simu ya kiganjani wakati walipofanya ziara ya kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali  ya usafiri anga iliyotekelezwa na inayotekelezwa katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA.
 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini, wakimsikiliza kwa makini, Kaimu meneja wa kituo cha JNIA, Mwanajumaa Kombo ,wakati walipofanya ziara ya kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali  ya usafiri anga iliyotekelezwa na inayotekelezwa katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini, wakimsikiliza kwa makini mkuu wa mitambo wa JNIA ,Deodore Mushi alipokuwa akiwaeleza jambo  kuhusiana na mitambo ya mawasiliano ya usafiri wa Anga ,wakati walipofanya ziara ya kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali  ya usafiri anga iliyotekelezwa na inayotekelezwa katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
Kaimu Mkurugenzi Huduma za uongozaji ndege wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).John Chambo (katikati) akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam, juu ya rada ya kuongozea ndege  wakati walipofanya ziara ya kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali  ya usafiri anga iliyotekelezwa na inayotekelezwa katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) .
0  Kaimu Mkurugenzi Huduma za uongozaji ndege wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).John Chambo, akiongea na waandishi wa habari ( hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati walipofanya ziara ya kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali  ya usafiri anga iliyotekelezwa na inayotekelezwa katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Kutoka kushoto ni Mkuu wa mitambo wa JNIA ,Deodore Mushi na Kaimu meneja wa kituo cha JNIA ,Mwanajumaa Kombo.

Post a Comment

0 Comments