Random Posts

Hafla ya uzinduzi wa Bodi Sekritarieti ya Ajira katika Utumishi

 Katibu wa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma Bw. Xavier Daudi akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimentiya utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki jinsi ya ufanyaji kazi wa menejimenti hiyo katika uzinduzi wa Bodi mpya uliofanyika leo katika  Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimentiya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki na pili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora Dkt.Laurent Ndumbaro
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimentiya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akihutubia katika hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi Sekritarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma pamoja na Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa ofisi hiyo uliofanyika Maktaba Kuu ya Taifa leo Jijini Dar es Salaam kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora Dkt.Laurent Ndumbaro.
 Mwenyekti wa Bodi mpya ya Sekritarieti ya Ajira katika utumishi wa umma Bi.Rose Lugembe katika uzinduzi wa tatu wa bodi pamoja na mkataba wa huduma kwa mteja uliofanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo Maktaba Kuu ya Taifa leo Jijini Dar es Salaam kulia ni moja ya wajumbe wa bodi hiyo Bw.Mbaraka Abdul Wakill.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora Dkt.Laurent Ndumbaro akitoa salama na kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bodi Sekritarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma pamoja na Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa ofisi hiyo uliofanyika Maktaba Kuu ya Taifa leo Jijini Dar es Salaam kutoa kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimentiya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki na pili kushoto ni Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi.

(Picha na Paschal Dotto-MAELEZO)

Post a Comment

0 Comments