Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA
Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto) Bibi.Azzan Amin Nofly Ofisa katika Shirika hilo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini
Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa
na Ujumbe aliofuatana nao (kushoto) wengine (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (wa
pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu pia kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Nd,Salum
Maulid Salum.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania
Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na
Ujumbe aliofuatana nao (haupo pichani )
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA
Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]

0 Comments