| Bw,Fitsum Weldegiorgis ambaye anatoka Taasisi ya kimataifa ya Mazingirana na maendeleo(IIED ) akielezea namna ambavyo taasisi hiyo imekuwa ikifanya shughuli pamoja na sekta ya madini Nchini. |
| Rebecca Burton ambaye anatoka taasisi ya Tiffany akizungumza namba ambavyo taasisi yao inafanya kazi wakati wa Mkutano wa majadiliano. |
| Mtafiti wa kampuni ya ushauri Dkt,Willson Mtagwaba,akibainisha changamoto ambazo wamekutana nazo wakati wakifanya tafiti kwa wachimbaji wadogo. |
0 Comments