Mafundi
wa kampuni ya Minica Ltd, kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama
Barabarani na Benki ya Stan Bic, wakichora alama za kivuko cha waenda
kwa miguu ‘Zebra’ katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi katika makutano
ya Taa za kuongozea magari za Ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam, leo
mchana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa usalama
inayoendelea.
Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mafundi wakiweka alama kabla ya kuanza kuchora
Mafundi wakiendelea kuchora alama
Mdau akishiriki kuchora alama

0 Comments