PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo
wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya ziara
Wilayani Arumeru kujionea Vituo vya Hali ya Hewa vinavyoratibiwa na
Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa
na Mfumo wa Tahadhari Novemba 21, 2017.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya ziara Wilayani Arumeru kujionea Vituo vya Hali ya Hewa vinavyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari Novemba 21, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika ziara na Baadhi ya Watendaji wa Serikali walioongozana naye kutembelea Vituo vya Hali ya Hewa vilivyofungwa na Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari Arumeru.




0 Comments