Madawati mia mbili ambayo yametolewa na kampuni
ya Blue coast Investment iliyopo Mkoani Geita kwa lengo la kusaidia mahitaji ya elimu.
|
mkurugenzi wa kampuni
ya Blue coast Investment ,Bw
Athanas Inyasi akimkabidhi mkuu wa Wilaya madawati mia mbili ambayo ameyatoa.
|
Mkuu wa Wilaya ya Geita.,Mwl Herman Kapufi akipokea kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Geita,wakati wa zoezi la kukabidhiwa madawati mia mbili.
(PICHA NA JOEL MADUKA)
|
0 Comments