Tanzania Yetu na Vyoo Bora. Bado Tunayo kazi kubwa ya
Kufanya:-kaya zenye vyoo bora ni 40% tu.
kaya zenye vifaa maalum (sabuni + maji) vya kunawa mikono
ni 34% tu.kati ya shule za Msingi (16,088) zenye vyoo bora ni 28%
tu!
ChooBora kwa kila mtu, kila mahali Inawezekana!
Wilaya ya Njombe, zaidi ya asilimia 95 (95% ) ya kaya zina
vyoo bora na sehemu maalum za kunawia mikono. *Tujenge na kutumia ChooBora!
Imetolewa na:-
Ummy Mwalimu,Mb.
Waziri wa Afya
19 Nov. 2017
Dodoma


0 Comments