Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan aakihutubia wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi
ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha
Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa
ambaye alimkaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi kwenye kilele cha Maadhimisho
ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika
kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam kushoto ni IGP
Mstaafu Said Mwema
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa
ambaye alimkaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi kwenye kilele cha Maadhimisho
ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika
kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipata maelezo juu kamera kugundua wanaoendesha kwa
mwendo mkali kutoka kwa Konstabo Sharifa Ismail wa Kitengo cha Usalama
Barabarani makamo makuu ya polisi Dar es Salaam wakati wa kilele cha
Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania
yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya umuhimu wa alama za barabarani
kutoka kwa Koplo Faustina Nduguru wa Kitengo cha Usalama Barabarani
makamo makuu ya polisi Dar es Salaam wakati wa kilele cha Maadhimisho ya
miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye
Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum la polisi wanawake kwenye kilele
cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania
yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es
Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

0 Comments