Wanandoa hao wamebarikiwa kupata fursa ya kuwa na marafiki wao, familia na nyota kadhaa pamoja na mtoto wao wa miezi miwili Alexis Olympia Ohanian Jr., wakati wakila kiapo cha ndaoa katika kituo cha Contemporary Arts huko New Orleans.
Nyoya kama Kim Kardashian, Venus Williams, Beyonce, na wanakikundi cha muziki wa New Edition, ambao wataimba nyimbo kadhaa katika sherehe ya harusi wameonekana wakiingia katika ukumbi wa kufungia ndoa.
Wageni waalikwa wakiwa wanapata kinywaji wakisubiri maharusi watarajiwa Sehemu ya wageni waalikwa ambao ni nyota mbalimbali wakiwa katika eneo la kufungia harusi
Wazee wa matarumbeta nao walikuwapo kunogesha shughuli ya ndoa ya Serena Williams na Alexis Ohanian




0 Comments