Rais Mugabe ameonekana akihudhuria mahafali ya Chuo Kikuu Huria Jijini Harare ambacho yeye ni mkuu wa chuo.
Rais Mugabe amekuwa akishikiliwa nyumbani kwake kwa siku kadhaa, baada ya jeshi kuamua kuingia mtaani kufuatia mgogoro wa kumtimua makamu wa rais.
Rais Robert Mugabe akiwa katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria Harare, hata hivyo yaonekana hana ratiba ya kuhutubia


0 Comments