Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha
mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai
akiwasilisha taarifa mbalimbali kwa wabunge kabla ya kuahirisha bunge
hilo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha
tisa cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja
mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa cha
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati Mhe.Dk.Medard Kalemani akitolea ufafanuzi
maswali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa cha
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage
akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao
cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Halima Bulembo akiuliza swali
wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline
Mabula akitolea ufafanuzi mchakato wa Serikali wa kuanzisha mamlaka
itakayosimamia suala zima la upangaji wakati wa mkutano wa tisa wa kikao
cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini
Dodoma.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi Isack Kamwelwe
akimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu
Kijaji wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa cha Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na
Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiwasilisha muswada wa marekebisho
ya Sheria ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wa mwaka 2017
wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.










0 Comments