Daladala likiwa limebebwa kwenye mkokoteni likitoka maeneo ya Dodoma Inn
kuelekea barabara ya Dar es salaam mjini Dodoma Novemba 2, 2017. Licha
ya kusababisha mshangao kwa watuomiaji wa barabara pia lilisababisha
msongamano wa magari.
(Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 Comments