Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe
pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald, Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli wa pili kutoka (kushoto) pamoja
na viongozi wengine wa Serikali kuashiria ufunguzi rasmi wa Uwanja wa ndege wa
Bukoba mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi
pamoja na viongozi hao mara baada ya ufunguzi wa rasmi wa Uwanja wa ndege wa
Bukoba mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi,
Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya ufunguzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald kuashiria ufunguzi wa wa rasmi
wa Uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla
ya ufunguzi huo wa uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana
mikono na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wanne
kutoka kushoto waliokaa pamoja na viongozi wengine mara baada ya kukagua chumba
cha abiria uwanjani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mke wake Mama
Janeth Magufuli watatu kutoka kulia wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wabunge, viongozi wa Serikali pamoja na Viongozi wa Dini mara baada ya ufunguzi wa uwanja huo wa
Ndege.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na kumshukuru Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya shughuli za
ufunguzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla
ya ufunguzi huo wa uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU










0 Comments