Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi wa Kemondo wakati akielekea Bukoba mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwananchi Maarufu wa Muleba Hassan Milanga mara baada ya kuwasalimia wananchi
wa Muleba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Muleba wakati akiwa njiani kuelekea Bukoba mjini.
Wananchi
wa Muleba wakifurahia wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akiwahutubia.
Wananchi
wa Kemondo wakifurahia wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Baadhi
ya wananchi wa Kemondo mkoani Kagera wakiwa juu ya miti kumsikiliza Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia
wananchi wa eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali
Mstaafu Salum Kijuu mara baada ya
kuwasili mkoani Kagera.
Baadhi
ya mabango wa Wananchi wa Kemondo mkoani Kagera wakiyanyanyua wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akipita
katika eneo hilo.
PICHA NA IKULU










0 Comments