Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifungua
semina kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa Wanachama wa Chama cha
Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyofanyika leo
katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana
na Rushwa Tanzania (APNAC) wakifuatilia semina kuhusu maadili na Mapambano dhidi
ya rushwa iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akifuatilia
semina kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa Wanachama wa Chama cha
Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyofanyika leo
katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma. wa pili kulia ni katibu wa Bunge,
Mheshimiwa Stephen kagaigai, wa pili kushoto ni katibu wa Chama hicho,
Mheshimiwa Daniel Mtuka na kushoto ni kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho,
Mheshimiwa Cecilia Pareso.
Spika wa Bunge Mheshimiwa, Job Ndugai (kulia)
akipokelewa na Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na
Rushwa Tanzania (APNAC), Mheshimiwa Cecilia Pareso (kushoto) kwenda kufungua
semina kuhusu maadili na Mapambano dhidi ya rushwa iliyofanyika leo katika hoteli
ya Morena Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)




0 Comments