Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka akizumgumza kwenye kongamano
lilioandaliwa na uvccm kuhusu tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa
miaka miwili wa serikali ya Rais dk John Magufuli kwenye ukumbi wa bmk
Mkoani Tanga jana.(picha na Fahdi Siraji)
Katibu wa uvccm wilaya ya Tanga mjini Abdurahman Killo akisoma
tamko la uvccm kuunga mkono utendaji wa miaka miwili wa serikali ya
Rais John Magufuli lilifanyika ukumbi wa BMK Mkoani Tanga(Picha na
Fahdi Siraji)
Katibu wa ccm mkoa wa Tanga Allan Kingazi akihutubia katika
kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa
utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais Dk John Magufuli (picha na
Fahdi Siraji)
Mwenyekiti wa uvccm Mkoa Tanga Abdiely Makange akizungumza kabla
ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu wa uvccm Shaka Hamdu Shaka azungumze
na makundi ya vijana wa vyuo na vyuo vikuu.mama lishe.na boda boda kwnye Ukumbi bwa BMK Mkoani Tanga(picha na Fahdi Siraji)
Sehemu ya uwakikisjinwa Jumuiya ya Wanawake Mkoa Tanga
walioshiriki kwenye kongamano la tathmini ya Uchambuzi wa utendaji wa
miaka miwili ya serikali ya Rais dk John Magufuli likifanyika mkoani
Tanga.
Sehemu ya washiriki kwenye kongamano lililoandaliwa na uvccm
kuhusu tathmini na uchambuzi wa miaka miwili ya utendaji wa serikali ya
Rais Dk John Magufuli lilifanyika Mkoani humo (picha na fahd Siraji)
Chipukizi wa CCM Mkoa wa Tanga wakiimbisha Wimbo wa Taifa kabla
ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa miaka miwili ya
serikali ya Rais John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani humo.
Kaimu katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCM) Shaka Hamdu
Shaka (wa tatu kulia)akishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza
kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa
serikali ya Rais John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani Tanga
jana.Kulia ni Mweyekiti wa ccm wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Khamis
Mkoba(picha na Fahdi Siraji)








0 Comments